Humura Secondary School ni shule ya **hosteli na kutwa**, inayowahudumia wanafunzi wanaoishi shuleni pamoja na wanafunzi wanaotoka nyumbani. Mpangilio huu huwezesha wanafunzi wengi kupata elimu.
Read MoreHumura Secondary School ina wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha nne pamoja na kidato cha sita katika michepuo mbalimbali.
Read MoreHumura Secondary School ni shule inayojitahidi kutoa elimu bora kwa wanafunzi wake. Shule hii **tunavitabu vya kutosha**, jambo linalowasaidia wanafunzi kujifunza kwa ufanisi darasani na kujisomea binafsi.
Read MoreHumura Secondary School ipo katika Wilaya ya Muleba, eneo la Rubya, Mkoa wa Kagera. Shule hii inahudumia wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha Sita
Read More
WE ARE HERE
1
Humura Secondary School ina vitabu vya kutosha na vifaa muhimu vya kujifunzia vinavyowawezesha wanafunzi kuelewa masomo kwa urahisi na kufanya vizuri katika mitihani.
Shule ina walimu waliobobea katika masomo mbalimbali, wanaojali maendeleo ya wanafunzi na kuwasaidia kufikia malengo yao ya kitaaluma.
Shule ina wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha nne na kidato cha sita katika michepuo mbalimbali, jambo linalowawezesha wanafunzi kuchagua masomo yanayolingana na vipaji vyao.
Humura Secondary School inazingatia nidhamu, maadili mema na mshikamano, hivyo kuwalea wanafunzi kuwa raia wema na wenye mchango chanya katika jamii.
20 years experience in the field of study
TUNAPOKEA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA HADI KIDATO CHA SITA